Back to top

News

Watu 12 wamefariki dunia na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya Gari dogo aina ya Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na Lori la Mchanga lenye namba za usajili T 439 DCC  katika kijiji cha Dundani wilayani Mkuranga.