Back to top

News

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imesikitishwa na ucheleweshaji wa upandishwaji hadhi ya Zahanati ya Nshambya, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, kuwa Hospitali ya Wilaya.......