Back to top

News

Mamlaka ya mapato nchini (TRA)mkoani Kilimanjaro imeteketeza shehena ya bidhaa mbalimbali  za vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia ,vifaa vya hospitali ,na vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 23 ambavyo vimeingizwa nchini  kupitia njia za panya.