Back to top

Maafisa 5 wafutwa kazi baada ya kuawa mwanahabari Jamal Khashogg

20 October 2018
Share

Saudi Arabia imethibitisha kwamba mwandishi wa habari Jamal Khashogg ameuawa ndani ya ubalozi wa Saudi Arabia uliopo Istanbul Uturuki

Kufuatia kadhia hiyo maafisa wa watano wa ngazi za juu nchini humo wamefukuzwa kazi.

Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameagiza kufanyika mabadiliko katika muundo wa idara ya usalama nchini humo.