Back to top

Makinda asema suala la usawa wa kijinsia ni haki ya kila mtu.

27 February 2020
Share

Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Mama Anne Makinda amesema kuwa suala la usawa wa kijinsia ni haki ya kila mtu hususani kwa wanawake ambao waliachwa nyuma. 

Mama Makinda ameyasema hayo jijini Dodoma katika uzindizi wa maadhimisho na kongamano la kitaifa ya siku ya wanawake Duniani.

Pia mama Makinda ametoa wito kwa kinamama kujiunga katika vikundi vya Ujasiriamali.