Back to top

Mamia wajitokeza kwenye ibada ya shukrani ya kumbukumbu ya Ruge.  

26 February 2020
Share

Mamia ya wananchi wajitokeza Mkoani Kagera kwenye ibada ya shukrani ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Ruge Mutahaba ambaye alikuwa Mkurugenzi wa vipindi wa kampuni wa Clouds Media Group aliyefariki dunia nchini Afrika ya Kusini wakati akipata matibabu.

 

Ibada hiyo imehudhuriwa na viongozi na wadau mbalimbali  imefanyika kwenye kijiji cha Kitwe wilayani Bukoba ulikozikwa mwili wa marehemu Ruge.