Back to top

Membe athibitisha kugombea urais kupitia ACT wazalendo.

17 July 2020
Share

Bernard Membe amethibitisha kuwa atagombea urais kupitia chama cha ACT wazalendo.

 

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Membe ameweka wazi nia yake ya kugombea kupitia chama hicho huku akiendelea kusisitiza umoja wa vyombo vya upinzani.