Back to top

Mkuu wa JKT asitisha vibali vya kutoka nje ya kambi

19 March 2020
Share

Mbuge amesitisha vibali vya kutoka nje ya kambi sambamba na likizo kwa vijana wanaopata mafunzo ya  jeshi la kujenga taifa katika kambi zote nchini ikiwa ni moja ya hatua ya kupambana dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.