Back to top

Mohammed Dewji atekwa na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam

11 October 2018
Share

Jeshi la polisi nchini limesema linafuatilia taarifa za madai ya kutekwa na watu wasiojulikana kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji katika eneo la Collesium Hotel Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambo sasa amethibitisha na kusema wamepokea taarifa hivyo wanafuatilia kujua ukweli wake.

Endelea kufuatilia taarifa zetu.