Back to top

Moto unateketeza Ghorofa Dar es Salaam

13 June 2018
Share

Moto mkubwa umezuka katika makutano ya mtaa wa Uhuru na Linvingtone ambapo mpaka sasa hivi chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na hakuna taarifa za vifo wala majeruhi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia kupitia mwandishia wetu aliyepo eneo la tukioa amesema ulinzi umeimarishwa japo bado kuna idadi kubwa ya watu amboa wanashangaatukio hilo.

Taarifa zikaongeza kuwa kama jitihada za haraka hazitachukuliwa kukabiliana na moto huo nyumba zaidi zitaoungua.