Back to top

NEC yatangaza kuongeza muda kuapisha mawakala wa vyama vya siasa.

21 October 2020
Share


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kutoka kutoka tarehe 21 hadi tarehe 23 Oktoba 2020.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchanguzi Dkt.Wilson Mahera amesema miongoni mwa sababu za kuongezwa kwa muda ni pamoja Jiografia ya baadhi ya maeneo kuwa na changamoto ya kufikika kwa urahisi.