Back to top

Ng’ombe 300 wadaiwa kufa kwa magonjwa na ukame Tunduru.

15 January 2020
Share

Ng’ombe 300 wadaiwa kufa kwa magonjwa na ukame Tunduru.Zaidi ya ng’ombe miatatu. Wa wafugaji wa asili kwenye kata ya Nakapanya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanadaiwa kufa kwa magonjwa ya homa ya mapafu kupe mchafuko wa damu mwilini pamoja na kukosa malisho ya uhakika hali inayotajwa kuathiri kiasi kikubwa uchumi wa wafugaji hao.

Wakizungumzia tukio ilo wafugaji kutoka kata ya Nakapanya wanasema hali hiyo imefanya uchumi wao kuyumba wameomba seikali na wadau wawasaidie kupunguza changamoto zinazowakabili.