Back to top

Ongezeko la maambukizi ya surua na rubella yaibua wasiwasi Uganda. 

16 December 2018
Share

Idhara ya kitaifa ya kutoa chanjo dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa imeeleza wasi wasi mkubwa kufuatia ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa surua yaani measles na rubella miongoni mwa watoto nchini Uganda. 

Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti kati ya wilaya 40,takribani wilaya 30 zimeathirika na ugonjwa wa surua na rubella.