Back to top

Panya waibuka tena Handeni na kushambulia mazao.

20 September 2018
Share


Wakulima wilayani Handeni wameiomba serikali kuwasaidia kukabiliana na panya waharibifu wanaoshambulia mazao ikiwemo  muhogo na mahindi.

Hata hivyo mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bwana Ramadhani Diliwa amewataka wananchi na madiwani kutoa taarifa kwa maafisa kilimo wa kata ili tatizo hilo liweze kutatuliwa.