Back to top

Polisi yakamata pesa zikisafirishwa kwa njia isiyo halali.

09 October 2018
Share

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka za Viwanja vya Ndege zimekamata dola elfu 60 za Marekani na Paundi 3,410 za Uingereza zikiwa zinasafirishwa  nje ya nchi isivyo halali na mwanamke Raia wa Sudan.

Pia wamemkamata raia wa Korea na akiwa na dola elfu 10 za Marekani  ambazo hakuzitolea maelezo kwamba atasafiri nazo.