Back to top

RC Lindi amepiga marufuku matofali mabovu kutumika kujenga shule.

16 January 2019
Share

kuu wa mkoa wa lindi, bwana.godfrey zambi, amepiga marufuku matofali mabovu kutumika  kujenga vyumba vya madarasa matatu kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza waliokosa nafasi kutokana na uhaba wa madarasa kwa kuwa yanaweza kusababisha hatari baadae kwa wanafunzi .

Mara baada ya yakuwasili  shuleni hapo mkuu wa mkoa wa Lindi, alikagua matofali hayo na kubaini si matofali bora kwa kujengewa madarasa na kuhoji kwanini watendaji wamekubali kupokea  matofali hayo wakati ni mabovu.