Back to top

Shambulio la anga chuo cha kijeshi laua 28 Libya.

05 January 2020
Share

Zaidi ya watu 28 wameuawa kufuatia shambulizi la anga lililolenga chuo cha mafunzo ya kijeshi katika mji mkuu wa Libya Tripoli.

Taarifa za awali zinasema kuna uwezekano tukio hilo limetekelezwa na vikundi vya kigaidi vnavyomuunga mkono Gen Khalifa Haftar.