Back to top

TAKUKURU yawataka Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo Kujisalimisha.

14 September 2018
Share

TAKUKURU imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Simba Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi zake au kituo cha polisi kujibu tuhuma zinazowakabili juu ya mashtaka ya kutoa taarifa za uongo kwa TRA juu ya ununuzi wa nyasi bandia za uwanja wa Simba,katika kesi  inayowahusisha pia kina Evance Aveva na Geofrey Nyange "Kaburu"