Back to top

Tanzania kuadhimisha siku ya Moyo duniani Septemba 29

14 September 2018
Share

Kufuatia ongezeko la vifo vitokanavyo na magonjwa ya Moyo duniani ambapo takribani watu milioni 18 hufariki kwa mwaka kutokana na ugonjwa huo, Tanzania kwa mara ya kwanza itaungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya Moyo duniani tarehe 29 Septemba mwaka huu