Back to top

Treni ya mizigo yapinduka karibu na karakana Morogoro.

13 April 2019
Share


Treni ya mizigo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam imepinduka karibu na karakana Morogoro na kupelekea abiria waliokuwa wakisafiri kwa kutumia treni ya abiria kutoka Dar es Salaam na kutoka Kigoma kukwama kwenye eneo Hilo. 

Hata hivyo kutokana na kuharibika kwa njia ya treni abiria wamefaulishwa kwa kubadilishana treni na kuendelea na safari.

Endelea kufuatilia taarifa hii kufahamu zaidi