Back to top

Uchaguzi Congo kufanyika kama ulivyopangwa.

13 December 2018
Share

Uchaguzi Congo utafanyika kama kawaida licha ya moto kuteketeza vifaa.

Kompyuta zaidi ya 6000 zimeteketea kwa moto kufuatia ghala la ofisi ya Tume ya uchanguzi zilizopo katika mji wa Kinshasa nchini Congo DR kuwaka moto.

Mwandishi wetu  aliyepo Congo DR Auster Malivika anasema kuwa Tume ya uchaguzi nchini humo imesema uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa desemba 23 mwaka huu  licha ya vifaa hivyo kuungua moto.