Back to top

Uchumi wa Dunia washuka kwa asilimia 2.9 kutoka asilimia 3.

09 January 2019
Share

Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia kuhusu makadirio ya uchumi wa dunia, inaonesha kuwa uchumi wa dunia umedhoofika kutokana na mazingira ya kifedha kuwa mabaya, kuongezeka kwa mivutano ya kibiashara na baadhi ya masoko makubwa mapya na nchi zinazoendelea kushuhudia shinikizo kubwa la soko la kifedha.

Benki ya Dunia imeshusha makadirio kuhusu ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu hadi asilimia 2.9 kutoka asilimia 3.