Back to top

Ujumbe wa ECOWAS uko nchini Guinea kujadili kupinduliwa Rais Conde

10 September 2021
Share

Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) uko nchini Guinea kujadili matukio ya hivi karibuni nchini humo, hasa hatima ya Rais Alpha Conde aliyepinduliwa na kundi la wanajeshi.
.
Jumuiya hiyo imeonesha msimamo wake kuhusu hali ya mambo nchini Guinea, baada ya kukutana katika mkutano wa dharura na kuamua kusimamisha kwake katika taasisi zote za jumuiya na kutaka kuachiliwa kwa Rais Alpha Conde anayezuliwa katika sehemu ya isiyojulikana.
.
Ujumbe huo unaomjumuisha Raia wa Ecowas Jean -Claude Kaasi Brou unaundwa na na mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa ECOWAS kutoka Ghana, Togo, Burkina Faso na Nigeria.