Back to top

VIDEO:Rais Museveni wa Uganda awasili Tanzania kwa ziara ya siku moja.

09 August 2018
Share

Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni awasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

---------------

Video hiyo hapo chini inaonesha namna alivyowasili.