Back to top

Waendesha mashitaka nchini Rwanda waombwa kutojihusiSha na rushwa.

14 September 2018
Share

Waendesha mashitaka nchini Rwanda waombwa kufanya kazi ki-uweledi, huku wakijilinda kula rushwa. 

Ikumbukwe mahakama hizo ni maarufu kwa kuendesha kesi zinazowakabili wanajeshi na moja ya mahakama hizo ilimuhukumu bila kuwepo mahakamani kifungo cha miaka 24, Jenerali Faustino Kayumba Nyamwasa, ambaye kwa sasa miongoni mwa waasi wakuu wa serikali ya rais Paul Kagame baada ya kulitumikia taifa la Rwanda kwa muda mrefu kama mkuu wa majeshi na balozi wa Rwanda nchini India.