Back to top

Wakulima watakiwa kutumia bima za Mazao kuepuka hasara.

26 February 2021
Share

Serikali imetoa wito kwa wakulima kutumia bima za mazao ili kuepuka hasara na athari zinazotokana na majanga mbalimbali ikiwemo mafuriko pamoja na ukame. 
.
Wito huo umetolewa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya baada ya majadiliano na wadau wa maendeleo kutoka nchini Japan na serikali ya Tanzania.