Back to top

Wananchi Kagera washauriwa kutosikiliza upotoshaji chanjo ya kinga.

06 May 2021
Share

Wananchi wameshauriwa  kuwapeleka watoto wao kwenye vituo vya afya ili wapate  dawa ya chanjo itakayotolewa serikali kwa watoto wenye umri mdogo ambayo ni  kinga tiba ya magonjwa ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele ambayo ni pamoja na minyoo, kichocho, usubi, matende, ukoma na mabusha badala ya kuwasikiliza wale wanaoeneza taarifa za upotoshaji kwamba  chanjo hizo zina madhara kwa watoto.