Back to top

Watu walioambukizwa Corona nchini Burundi wafikia 19.

02 May 2020
Share

Mambukizi mapya ya watu 4 ya virusi vya Covid-19 yamethibitishwa nchini Burundi na kufikia watu 19 waliothibitishwa kuwa na virusi hivyo hadi sasa.

Watu hao wamebainika baada ya vipimo vilivyofanywa kwa watu 167 mjini Bujumbura.

Kwa mujibu wa tangazo la wizara ya afya watu wa 3 wamepona.