Back to top

Waziri Chamuriho atahadharisha watakaokwamisha miradi ya kimkakati.

14 April 2021
Share


Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho amewatahadharisha watendaji wa sekta ya ujenzi na uchukuzi watakaokwamisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa reli ya kisasa SGR watachukuliwa hatua. 

Agizo hilo Jijini Dodoma wakati akifungua baraza la wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi.

Waziri Chamuriho pia amewaagiza wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa muda uliopangwa na kuleta tija kwa watanzania.