Back to top

ZEC yafuta majimbo manne ya Uchaguzi Zanzibar.

02 July 2020
Share

Tume ya Uchaguzi Zanzibar imefuta majimbo manne ya uchaguzi ili kuondoa usumbufu wa kuwachanganya wananchi katika maeneo ya uchaguzi.

Bofya video hapa kufahamu kwa kina.