Back to top

Zitto Kabwe afikishwa Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam.

02 November 2018
Share

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Mh.Zitto Kabwe ambaye alikuwa anashikiliwa na polisi kwa siku tatu kwa ajili ya mahojiano katika kituo cha polisi Oysterbay kabla ya kuhamishiwa kituo cha polisi Mburahati hatimaye leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Zitto Kabwe ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini alishikiliwa na polisi Jumatano kuhusiana madai kuwa wananchi zaidi ya 100 waliuawa katika mapigano kati ya wananchi wa jamii ya Wanyantuzu na polisi wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.

Taarifa zaidi endelea kuwa nasi kufahamu.