Back to top

Dkt.Richard Sezibera ateuliwa kuwa waziri wa nchi za nje wa Rwanda.

18 October 2018
Share

Rais wa Rwanda amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri nchini humo akiongozwa na katiba mpya iliyofanyiwa maboresho mwaka 2015 hususani katika kipengele namba 116.

Kutokana na mabadiliko hayo, Dkt. Richard Sezibera aliyewahi kuwa katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika Mashariki ameteuliwa kuwa waziri wa nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa huku karibu ya mawaziri wote wakongwe  wameenguliwa  akiwemo Jenerali James Kabarebe aliyeeongoza wizara ya ulinzi na usalama