Back to top

News

Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Alhaji Majid Mwanga, amesema wahusika wote wa ubadhilifu wa fedha za shilingi 39,501, 665 katika Kijiji cha Kibaoni Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.