Makandarasi wanne wabainika kutoa taarifa za uongo TARURA

Serikali ya mkoa wa Mtwara imesema itaendelea kuwachuja makandarasi wa ujenzi wa barabara ambao ni wababaishaji ambapo kwa mwaka 2019/2020 makandarasi wanne wamebainika kutoa taarifa za uongo kwa wakala  wa ujenzi wa barabara za mjini na vijijini (TARURA)  ili kupewa kazi.