Mbegu zisizoliwa na wadudu zazalishwa.

Watalam wa kilimo cha migomba kutoka taasisi za kimataifa kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela wamefanikiwa kuotesha mbegu mpya za migomba yenye uwezo wa kuhimili ukame, wadudu waharibifu na magonjwa kama  Mnyauko na Singatoka Nyeusi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakiwasumbua wakulima na kufifisha juhudi zao za kujikwamua na umasikini.

Bonyeza hapo chini kufahamu.