Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka za Viwanja vya Ndege zimekamata dola elfu 60 za Marekani na Paundi 3,410 za Uingereza zikiwa zinasafirishwa nje ya nchi isivyo halali na mwanamke Raia wa Sudan.
Pia wamemkamata raia wa Korea na akiwa na dola elfu 10 za Marekani ambazo hakuzitolea maelezo kwamba atasafiri nazo.