Independent Television Ltd
Wajasiriamali kutoka mikoa mbalimbali nchini wapo jijini DSM kushiriki maadhimisho ya wiki ya huduma za fedha na uwekezaji

 Wajasiriamali  kutoka  mikoa  mbalimbali nchini wapo jijini dar es salaam kushiriki maadhimisho ya wiki ya huduma za fedha na uwekezaji ambapo katika maadhimisho hayo wamekuwa  wakipewa elimu ya kuhusiana na huduma zitolewazo na taasisi za fedha pamoja na zinazohusiana na shughuli za wajasiriamali:.........

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Watu wanaoendelea kukaidi agizo la kuwataka wasifanye shughuli za kibinaadam katika vyanzo vya maji. Je,adhabu ziongezwe ili kukomesha tabia hiyo?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather