Independent Television Ltd
Dr. Kigoda ametaka tasisi kubwa zinazoshughulika na masuala ya biashara na uwekezaji kukutana na TRA

 Waziri wa viwanda na biashara dokta Abdallah Kigoda ametaka tasisi kubwa zinazoshughulika na masuala ya biashara na uwekezaji kukutana na mamlaka ya mapato nchini tra kujadili jinsi ya kuangalia kupunguza ushuru na hizo kodi zisozikuwa na tija ili  mazingira ya uwekezaji na uzalishaji uwe wenye faida.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Baadhi ya watendaji wa halmashauri kubainika kuendelea kufanya matumizi mabaya ya fedha. Je madiwani wawajibike kwa kushindwa kusimamia watendaji hao ?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather