Independent Television Ltd
MEZA HURU

9:00 ALASIRI Fuatilia kipindi cha MEZA HURU kinachoangazia masuala motomoto yanayogusa jamii. Mada ya leo ni “ Madereva na Leseni”.Unakaribishwa kupiga simu namba 0767 444701 na uweze kuoa maoni yako na pia shiriki kwa kutoa dukuduku lako ukitumia mitandao ya kijamii.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather