Independent Television Ltd
JARIDA LA WANAWAKE

1:00 USIKU Katika kipindi cha JARIDA LA WANAWAKE Kutana na Mtangazaji Blandina Sembu atakuwa na Esther Mzinga (Mama Ngosha) ambaye ni mshonaji,mfugaji na mkulima wa matunda akielezea faida za kujiajiri na anavyoendesha familia akitumia ujuzi na uzoefu wake.

 
Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather