Independent Television Ltd
TRL yasitisha safari zote za treni baada ya daraja kukatika mto Ruvu mkoani Pwani.

Kampuni ya reli Tanzania -TRL imesitisha safari zote za Treni za kampuni hiyo kutokea mkoani Dar es Salaam kutokana na daraja la Treni lililopo Ruvu mkoani Pwani baadhi ya sehemu zake kusombwa na maji.

Kaimu meneja biashara wa kampuni hiyo Shabaan Kiko amesema kutokana na hali kuanzia sasa safari zote zitaanzia mkoani Morogoro na abiria ambao walikwisha kata tiketi za kuanzia mkoa wa DSM watasafirishwa kwa mabasi mpaka mkoani Morogoro ili waweze kupanda Treni.
Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuelekea uchumi wa viwanda. Je mfumo wa elimu umebadilika kujibu mahitaji ya nchi
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather