Independent Television Ltd
Kocha wa miereka Jeshi Stars aridhika na kiwango cha wachezaji

 Kocha wa timu ya mieleka ya jeshi stars Sette Nanyaro amesema ameridhika na kiwango cha wachezaji wake katika awamu ya kwanza ya mashindano ya kombe la mwalimu nyerere ambapo katika mtindo wa grico roman wameongoza kwa medali 4 za dhahabu.

Kocha huyo amesema leo wanafanya mazoezi mepesi ambapo kesho wataanza kucheza free style ambapo wachezaji 12 katika uzito kuanza kg 55 hadi kg 120 watashuka ulingoni.

Amesema mashindano ya mwaka huu yana upinzani mkubwa kwani timu nyingi zimeleta wachezaji chipukizi na kufanya mchezo huo kuwa na msisimko mkubwa tofuati na mwaka jana.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather