Independent Television Ltd
Hotuba ya Jaji Warioba katika kipindi cha Dakika 45

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba ameongea na ITV kupitia kipindi cha DAKIKA 45 na kutoa ufafanuzi muhimu kuhusu mambo mbalimbali juu ya uundwaji wa katiba mpya.

Hii ni sehemu ya kwanza Usikose kuangali kipindi cha Dakika 45 siku ya Jumatatu 9:00 Usiku ili usikie muendelezo wa sehemu ya 2.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuelekea uchumi wa viwanda. Je mfumo wa elimu umebadilika kujibu mahitaji ya nchi
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather