Independent Television Ltd

Ni kipindi kinachoelimisha jamii kuhusu sheria mbalimbali za ndani na nje, kanuni na taratibu zake zikiletwa na wataalamu wa sheria na mawakili waalikwa.

 
KIPINDI KINA SEGMENTS MBILI:
1.Mwalikwa/ wakili akielezea sheria katika kipindi husika
 
2.Waathirika kutokana na sheria husika wakihojiwa hii ni baada ya kesi yao kwisha, ikiwa haiko tena mahakamani.
 
Mtayarishaji: Silewe Nguma
 
JUMATANO SAA 1:00-1:30 USIKU
Ijue Sheria
NEXT ON
SHERIA YA LESENI YA BIASHARA
PREVIOUS
ITV SHOWS
Kipima Joto
Azma ya Tanzania ya viwanda. Je wadau wamewekewa miongozo ya kuifanikisha "
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather