Back to top

BABA WA MIAKA 50 AMBAKA MTOTO WA MIAKA 9

22 January 2023
Share

Mwanaume mmoja mwenye umri wa zaidi ya miaka 50, mkazi wa Mtaa wa Kwamagome uliopo katika Halmashauri ya Handeni, ametiwa mbaroni akituhumiwa kumbaka binti wa mke wake mwenye umri wa miaka 9 ambaye alitakiwa kuripoti shuleni, kwa ajili ya kuanza darasa la kwanza mwaka huu.
.
Mwanaume huyo amebainika kufuatia zoezi linaloendelea kwenye Halmashauri hiyo la kuwasaka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ambao hawajaripoti shuleni.