Back to top

C.E.O Twitter Bw.Jack Dorsey ajiuzulu.

30 November 2021
Share

Mtendaji Mkuu na Mwanzilishi mwenza wa Twitter, Bw.Jack Dorsey ametangaza kujiuzulu kwenye nafasi hiyo, huku nafasi yake ikitangazwa kuchukuliwa na Bw.Parag Agrawal ambaye alikuwa Afisa Mkuu wa Ufundi.
.
Jack Dorsey, alianzisha Twitter mwaka wa 2006, na amekuwa akihudumu kama Mtendaji Mkuu wa Twitter na kampuni ya malipo ya Square, Bw.Dorsey alisema ni wakati wa yeye kuondoka na Kampuni kuendelea huku akisisitiza kuwa ana imani kubwa na mbadala wake Bw.Parag Agrawal.