Back to top

Dkt. Mpango awasili nchini Malawi.

10 January 2022
Share

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe Nchini Malawi na kupokelewa na Waziri wa Masuala ya Jinsia wa Malawi Patricia Kaliate ambapo atamuwakilisha Mh. Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa
Afrika (SADC) utakaofanyika Januari 11 na 12, 2022.