Back to top

Fanyeni usafi wa mabucha, Msitumie dawa za kuuwa wadudu

02 December 2021
Share

Msajili wa Bodi ya Nyama, Dk Daniel Mushi amepiga marufuku matumizi ya dawa za kupulizia wadudu kutumika katika mabucha kwa lengo la kuua Nzi na badala yake wafanyabiashara wafanye usafi wa kina kwenye mabucha yao huku akisisitiza kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakao kaidi maagizo hayo.