Back to top

GGM watakiwa kutumia umeme wa Gridi ya Taifa.

30 December 2021
Share

Waziri wa Madini Dkt.Dotto Biteko ameutaka Mgodi wa Uchimbaji Dhahabu wa Geita (GGM) kuanza ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme ili waweze kuunganishwa na gridi ya taifa na kuondokana na matumizi ya nishati ya mafuta inayogharimu fedha nyingi wakati serikali imejenga kituo cha kufua umeme karibu na mgodi huo.