Back to top

KESI YA MBOWE INAENDELEA KUSIKILIZWA.

04 November 2021
Share

Kesi ya Uhujumu Uchumi wa Vitendo vya Kigaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake watatu inaendelea kusikilizwa na Jaji Joachim Tiganga kwa kumsikiliza shahidi sita Mrajisi wa Leseni za Bunduki kutoka Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe na shahidi huyo anaongozwa kwa maswali, wakili mwandamizi wa serikali Pius Hilla katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.